Oswald Chambers: Amani - Maisha kwenye RohoMfano
Tunahubiri kwa watu kama vile wana fahamu kuwa watakufa wenye dhambi, lakini sio. Wanapata wakati mzuri, na maongezi yetu kuhusu haja ya kuokoka inatoka kwenye kikoa ambacho hawajui chochote; kwa sababu baadhi ya watu wanajaribu kuzamisha huzuni kwenye furaha za kidunia haimaanishi wote wapo hivyo. Hakuna cha kuvutia kuhusu injili kwa mtu wa asili; mtu pekee ambae huona injili inavutia ni mtu ambae alihukumiwa na dhambi.
Mbali na ufahamu wa Yesu Kristo, na mbali na kupigwa na hukumu ya dhambi, watu wana tabia ambayo inawaweka na furaha na amani. Hukumu ya dhambi inatokana na kuja kwa Roho Mtakatifu kwa sababu dhamira huharakisha kuaangalia mahitaji ya Mungu.
Maswali ya Tafakari: Ujumbe gani ninao kwa ambao hawajui wameachana na Mungu? Kwanini injili haiwavutii kwa ambao wanapenda maisha kama yalivyo? Wema wa Mungu unaniwezeshaje kugundua haja yangu kwake?
Nukuu kutoka Biblical Ethics, © Discovery House Publishers

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Amani: Maisha ya Roho ni hazina ya msukumo ya nukuu kutoka kwenye kazi za Oswald Chambers, mwandishi mpendwa ulimwenguni wa ibada na mwandishi wa My Utmost for His Highest. Pata mapumziko kwa Mungu na pata uelewa zaidi wa umuhimu wa amani ya Mungu kwenye maisha yako.
More
Tungependa kushukuru Huduma ya Discovery House Publishers kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.utmost.org