Oswald Chambers: Amani - Maisha kwenye RohoMfano
Tunapo okoka, kufufuliwa na kuhuishwa na Mungu, tunaona uwezekano wa kufikiria maua kwasababu hatuna tu amani ya Mungu, lakini ile amani iliyo na sifa ya Yesu Kristo. Tunakaa kwenye sehemu za kimbingu na Yesu Kristo. Njia za zamanı za kufanya vitu kwa wasiwasi na hasira zimekufa na tu wapya kwenye uumbaji katika Yesu Kristo. Katika uumbaji huo mpya inaonekana amani ambayo ilionekana kwa Yesu Kristo.
Mungu anapotuinua kwenye sehemu za Kimbingu, Anaweka usafi ule wa Yesu Kristo. Hiyo ndio maana ya maisha ya kutakaswa - utulivu wa amani, ushupavu wa nguvu yake ambayo haivurugiki, kioo cha usafi wa utakatifu wake.
Maswali ya Tafakari: Huwa napata wasiwasi na hasira katika kila usumbufu au nafikiri kuna uwezekano kuwa ziliwekwa ili nipunguze mwendo na kuna kitu cha muhimu ambacho nisingekiona?
Nukuu imechukuliwa kutoka Our Brilliant Heritage, © Discovery House Publishers

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Amani: Maisha ya Roho ni hazina ya msukumo ya nukuu kutoka kwenye kazi za Oswald Chambers, mwandishi mpendwa ulimwenguni wa ibada na mwandishi wa My Utmost for His Highest. Pata mapumziko kwa Mungu na pata uelewa zaidi wa umuhimu wa amani ya Mungu kwenye maisha yako.
More
Tungependa kushukuru Huduma ya Discovery House Publishers kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.utmost.org