Oswald Chambers: Amani - Maisha kwenye RohoMfano
Amani inayoonekana ni ushahidi mkubwa kwamba nipo sawa na Mungu, kwa kuwa nipo huru kuweka akili yangu katika yeye. Kama sipo sawa na Mungu siwezi kuweka akili yangu kokote lakini kwangu tu. Je unasumbuliwa na maumivu sasa? umevurugwa na mawimbi na milipuko wa huduma ya Mungu? Kugeuka kama ilivyokuwa, miamba ya imani, bado huoni amani, Furaha au Faraja- yote ni tasa? Basi angalia juu na upokee utulivu wa Mungu wetu Yesu Kristo. Juu na kwenye ukweli wa vita, maumivu na ugumu yeye hutawala kwa amani.
Kabla ya Roho wa Mungu kuweza kuleta amani ya akili yeye hutakiwa kutoa uchafu na kabla hajafanya, yeye anaweza kutupa wazo kuna uchafu gani.
Maswali ya Tafakari: Mawazo ya ubinafsi huniambia nini kuhusu amani? Mawazo gani ya wasiwasi natakiwa kutoa kabla ya kuwa na amani na Mungu na wengine?
Nukuu kutoka Christian Discipline and Servant as His Lord, © Discovery House Publishers

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Amani: Maisha ya Roho ni hazina ya msukumo ya nukuu kutoka kwenye kazi za Oswald Chambers, mwandishi mpendwa ulimwenguni wa ibada na mwandishi wa My Utmost for His Highest. Pata mapumziko kwa Mungu na pata uelewa zaidi wa umuhimu wa amani ya Mungu kwenye maisha yako.
More
Tungependa kushukuru Huduma ya Discovery House Publishers kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.utmost.org