Oswald Chambers: Amani - Maisha kwenye RohoMfano
Kuna mambo mazuri kuhusu mwanga, lakini pia yapo mambo mabaya pia. Wakati ule mwanga wa Roho wa Mungu unapomulika ndani ya moyo na maisha ambayo yamekuwa ya furaha na amani kando na Mungu, ni mateso kwa mtu huyo. Mwanga huleta kuchanganyikiwa na janga. Wakati mwanga unapokuja mambo yote ya giza hutetemeka. Usiku wa wasiomjua Mungu umegawanyika, si kwa ustaarabu, bali kwa ushahidi wa wanaume na wanawake walio na ukweli wa Mungu.
Bwana wetu anatumia jicho kama ishara ya dhamiri katika mtu aliyewekwa sahihi na Roho Mtakatifu. Ikiwa tunatembea katika nuru alipo mungu, nuru hio itazidi kutupa mwelekeo, na polepole na kwa hakika matendo yetu yote yataanza kuwekwa katika uhusiano mwema, na kila kitu kitakuwa katika uwiano na urahisi na amani.
Maswali ya kutafakari: Je, ni nini ambacho mwanga wa Bwana umenifunulia mimi kna kwamba ni cha kuchanganyikiwa, kupotosha, au wazi?
Je, kumtazama Bwana kunaweza huleta uwazi kwa mambo yasiyo eleweka katika maono ya umoja wa amani na maelewano?
Nukuu zilizochukuliwa kutoka Kwa ' kwa hayo Nakutuma Wewe' na Mafunzo katika Mahubiri ya Mlimani, © Wachapishaji wa Nyumba ya Discovery

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Amani: Maisha ya Roho ni hazina ya msukumo ya nukuu kutoka kwenye kazi za Oswald Chambers, mwandishi mpendwa ulimwenguni wa ibada na mwandishi wa My Utmost for His Highest. Pata mapumziko kwa Mungu na pata uelewa zaidi wa umuhimu wa amani ya Mungu kwenye maisha yako.
More
Tungependa kushukuru Huduma ya Discovery House Publishers kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.utmost.org