Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 18:20-21

Methali 18:20-21 BHN

Maneno ya mtu yaweza kumshibisha; hutosheka kwa matokeo ya maneno yake. Ulimi una nguvu ya kufanya hai na kuua; wanaopenda kuutumia watakula matunda yake.

Soma Methali 18