Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 18:20-21

Mithali 18:20-21 NEN

Tumbo la mtu litajaa kutokana na tunda la kinywa chake, atashibishwa mavuno yanayotokana na midomo yake. Mauti na uzima viko katika uwezo wa ulimi, nao waupendao watakula matunda yake.