Methali 18:20-21
Methali 18:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Maneno ya mtu yaweza kumshibisha; hutosheka kwa matokeo ya maneno yake. Ulimi una nguvu ya kufanya hai na kuua; wanaopenda kuutumia watakula matunda yake.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tumbo la mtu litajazwa matunda ya kinywa chake; Atashiba mazao ya midomo yake. Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:20-21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Tumbo la mtu litajazwa matunda ya kinywa chake; Atashiba mazao ya midomo yake. Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake.
Shirikisha
Soma Methali 18