Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 18:20-21

Mit 18:20-21 SUV

Tumbo la mtu litajazwa matunda ya kinywa chake; Atashiba mazao ya midomo yake. Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake.

Soma Mit 18