Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoeli 2:12-13

Yoeli 2:12-13 SRUV

Lakini hata sasa, asema BWANA, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuomboleza; rarueni mioyo yenu, wala si mavazi yenu, mkamrudie BWANA, Mungu wenu; kwa maana yeye ndiye mwenye neema, amejaa huruma; si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema, naye hughairi kuadhibu.

Soma Yoeli 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yoeli 2:12-13