Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoe 2:12-13

Yoe 2:12-13 SUV

Lakini hata sasa, asema BWANA, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuombolea; rarueni mioyo yenu, wala si mavazi yenu, mkamrudie BWANA, Mungu wenu; kwa maana yeye ndiye mwenye neema, amejaa huruma; si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema, naye hughairi mabaya.

Soma Yoe 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yoe 2:12-13