Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoeli 2:12-13

Yoeli 2:12-13 BHN

“Lakini hata sasa,” nasema mimi Mwenyezi-Mungu, “Nirudieni kwa moyo wote, kwa kufunga, kulia na kuomboleza. Msirarue mavazi yenu kuonesha huzuni bali nirudieni kwa moyo wa toba.” Mrudieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; yeye amejaa neema na huruma; hakasiriki upesi, ni mwingi wa fadhili; daima yu tayari kuacha kuadhibu.

Soma Yoeli 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yoeli 2:12-13