Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 06/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 06/2024

SIKU 17 YA 30

Nimekukimbilia Wewe, Bwana, Nisiaibike milele(Zab 31:1). Ndivyo tuonavyo katika somo la leo kuhusu uhusiano kati ya wafalme watatu wa Yuda, Israeli na Edomu wakitaka kupiga vita nchi ya Moabu. Wakiwa njiani, muungano wa majeshi hayo yalikumbwa na tatizo la ukosefu wa maji. Mfalme Yehoshafati alishauri kwamba wamwulize BWANA. Alitumia nafasi hii kumshuhudia Mungu. Walimwona nabii Elisha wakijua kuwaNeno la BWANA analo huyu(m.12). Tuwalete watu wa Mungu tukiiga mfano wa Yehoshafari.

siku 16siku 18

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 06/2024

Soma Biblia Kila Siku 06/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa sita pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha 2 Timotheo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz