Sanaa Ya KustahimiliMfano
Wewe si muadhiriwa
Kunatofauti kubwa sana kati ya waathiriwa na walionusurika. Waathirika hutazama kupitia taswira ya u “mimi”na “sasa.” Walionusurika hutazama kupitia taswira inayotolewa na Mungu ambayo huona mbali,juu zaidi,na kwa undani zaidi.Huhesabu yote furaha,Muombe Mungu akupe hekima yake,shikilia mtazamo wa umilele,na kuhamasishwa na upendo
a hali ya kukata tamaa. Kwa mtazamo wa aliyenusurika,una kila kiti unachokihitaji kushind
Lakini ni lazima upambane.Unapokumbana na majaribu,ingia vitani ukiwa na maswali matatu ya uchunguzi.
1. Je imani yangu iko katika vitu vivyoangamia au vya kudumu?
Tathmini mazingira yako katika nuru hii.Tumaini lako liko wapi—katika mambo yanayo dumu au mambo yasiyo dumu?Majaribu,hasara,vikwazo,na magumu hayawezi kukujenga au kukuvunja.Chagua kuweka macho yako kwenye vitu vikubwa.
Je tumaini langu linaamuliwa na matatizo yangu au ahadi za Mungu?
Je unatumaini ya kuwa matatizo yako yataondoka au unatumaini kuona mbeleni makusudi na mipango ya Mungu?Je una matatizo makubwa na Mungu mdogo au Mungu mkubwa na matatizo madogo? Chagua taswira utakayoitumia kuangalia.Unaweza kuzingatia ama kwenye tataizo au ahadi,na sio vyote.Unaweza kuamua kujazwa na tumaini.
2.Je kusudi langu la msingilinahamasishwa na kumpenda Kristo au kupata unafuu?
Mara zote sio rahisi kulijibu swali hili.Lakini ninapoangalia waumini wengi duniani ambao wanamtumikia Mungu mbali na mateso yao,Ninaona picha za upendo.Wako radhi kuvumilia mateso kwa ajili ya yule aliyeyatoa Maisha yake kwa ajili yao.
Mara zote unapoanza kukata tamaa,kumbuka haya maneno matatu katika moyo wa maswali haya: imani,tumaini, na upendo.
1 Imanihushikilia Moyo wako na akili katika ukweli ya kwamba Mungu anadhibiti y yote
2 Tumaini linakukumbusha ya kuwa Yeye ana mpango na ahadi kwa ajili yako.
3 Upendohuondoa mtazamo wako mbali na magumu na kukuelekeza kwenye faida za mateso kwa ajili yake ikiwa kama kujieleza kwako katika kujitoa kwako
Leo,tafakari maneno haya ya kukutia moyo.Yanatusaidia kuona kweli ya umilele mbali zaidi ya migogoro yetu ya muda.kuwekaSANAA ya Kustahimili,katika matendo,hatupitishi tu kuvuka majaribu yetu,tunakuwa zaidi yawashindi ambao tumepokea taji ya uzima.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Maisha katika dunia hii yamejawa na majaribu .Yawezekana uko katikati ya moja ya majaribu hayo hivi sasa na ukiuliza, “kwa nini “? Au hata ,kuuliza “Nitaishije katika mapito haya? Kitabu cha Yakobo kina majibu! Katika mpango huu wa kusoma kwa siku tano,Chip Ingram anatuonyesha jinsi gani unaweza kuiona furaha ya Mungu katikati ya nyakati ngumu kwa kutumia ustadi kupitia Sanaa ya Kustahimili.
More
Tungependa kuwashukuru Wanaoishi Ukingoni kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://livingontheedge.org/product/art-of-survival-book/