Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Sanaa Ya KustahimiliMfano

Sanaa Ya Kustahimili

SIKU 4 YA 5

Theologia ya kuielewa

I once met with a group of pastors in Hong Kong for dinner. One house church pastor told a story of being away when officials from the communist party raided his home as his church was gathering. His wife directed everyone to slip out back. Then she told the officials that she was the pastor. They took her to the police station and beat her for two days.

Niliwahi kukutana na kundi la wachungaji huko Hong Kong kwa ajili ya chakula cha jioni. Moja kati ya wachungaji waliokuwa wakikutana nyumbani akaniambia Habari kuhusu yeye alipokuwa hayupo nyumbani,wakati viongozi kutoka chama tawala walipovamia nyumba yake wakati kanisa lake walipokuwa wakikutana.Mke wake akamwambia kila aliyekuwako hapo kuondoka haraka.ndipo akawaambia viongozi hao kuwa yeye ndiye mchungaji.Walimchukua kwenda nae katika kituo cha polisi,na huko walimpiga kwa jumla ya siku mbili.

Sikuwea kujizuia hasira yangu.Je ningefanyaje kama mtu angemfanyia mke wangu hivyo?Ndipo mchungaji akamaliza kuelezea habari yake kwa kusema, “unaweza kufikiria hili ,yakuwa Mungu ametuhesabia kuwstahili kuteswa kwa ajili yake?”

Jinsi tunavyoitikia kipindi cha mateso,hua inazungumza kitu kuhusiana na theologia yetu,Mtazamo wetu wa mawazo juu ya asili ya Mungu na kile anachokifanya katika maisha yetu.Kama tumekata tamaa,basi pengine tunamtazamo usio sawa.

Kukata tamaa ni moja kati ya silaha kubwa sana za adui.inaweza ikaondoa ujasiri wetu una kutusababishia kupoteza ari ya mioyo yetu,kama vile hakuna kitakachobadilika.je kuna maana gani katika kujarbu ?mtazamo wa namna hii wa akili zako hufanya sisi kutafuta suluhu nakuacha tunachopaswa,haya yanaonekana kuwa maoni yetu halisi.

Lakini Mungu hutupa sisi theologia ya tofauti—mtazamo wa kiMungu,jinsi ambavyo anatupenda na kuyashikilia Maisha yetu ya baadae katika mikono yake.Wakati mtazamo huu unapoingia ndani yetu,kukata tamaa hupoteza nguvu yake.

Je umekata tamaa leo?Pata mtazamo wa kiMungu,theologia yake juu ya:

  • Mazingira yako

    Angalia mazingira yako kupitia jicho la imani.yanakuweka kwenye nafasi ya kumtegemea Mungu,ujuzi wenye thamani kwa sasa na milele

· Maisha yako ya baadae

Angalia Maisha yako ya baadae,kwa kupitia jicho la tumaini.Kama unamwamini Yesu,kamwe hutapitia mazingira yenye maumivu ambayo hayana makusudi au thamani.

  • Motisha yako

    Taji ya uzima imeahidiwa kwa wale wampendao,na ile nia kuu sana huunganisha maono yetu katika umilele.Tunaweza kushinda chochote kile ,tunapokuwa tunakifanya kwa ajili ya upendo.

Tafakari kifungu hiki leo kutoka katika kitabu cha Yakobo na kwa uajsiri ukimuomba Mungu akupe rasilimali.

Andiko

siku 3siku 5

Kuhusu Mpango huu

Sanaa Ya Kustahimili

Maisha katika dunia hii yamejawa na majaribu .Yawezekana uko katikati ya moja ya majaribu hayo hivi sasa na ukiuliza, “kwa nini “? Au hata ,kuuliza “Nitaishije katika mapito haya? Kitabu cha Yakobo kina majibu! Katika mpango huu wa kusoma kwa siku tano,Chip Ingram anatuonyesha jinsi gani unaweza kuiona furaha ya Mungu katikati ya nyakati ngumu kwa kutumia ustadi kupitia Sanaa ya Kustahimili.

More

Tungependa kuwashukuru Wanaoishi Ukingoni kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://livingontheedge.org/product/art-of-survival-book/