Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Sanaa Ya KustahimiliMfano

Sanaa Ya Kustahimili

SIKU 1 YA 5

Sababu ya furaha

Tunaishi katika nyakati za majaribu.Ulimwenguni kote watu wanakabiliwa na majaribu na mateso.Pengine hata wewe pia

Haijalishi ni kwa muda gani umekuwa Mkristo,Unaweza kushangaa ni kwa nini imani yako imefika mahali ilipo .hata kufikia kiasi cha kukata tamaa.(kuvunjika)

Tunajua ya kuwa tumeitwa kuwa washindi katika Kristo.Ila k

wa baadhi yetu,swali kubwa sio jinsi gani tunaweza kushinda.Ila ni jinsi ganitutakavyoweza kustahimili.

kItabu cha Yakobo kiliandikwa ili kulisaidia kanisa lililo katika mateso.Kikiandikwa na ndugu yake Yesu mwenyewe,Waraka huu unaelezea Habari za waumini waliotawanyika na kutikiswa na mateso, amabao wanakabiliwa na mateso magumu sana.Kama ilivyo kwa watu wengi leo hii,walihitaji kujua jinsi ya kustahimili.

Ninayaita mafundisho ya Yakobo, Sanaa ya kustahimili

AnatuonyeshaTabiaambayo ni ya kuifuata,Rasilimaliya kuiomba ,naTheolojiaya kuielewa

Tunapochagua tabia hiyo,kupokea msaada huo,na kujifunza kuona kutoka katika mtazamo ulio sahihi.basi tunaweza kukabiliana na hali yeyote ile tukiwa na ujasiri.

Kabla hatujaanaza kuangalia mafundisho ya Yakobo,hebu tujikumbushe juu ya mambo machache yaliyo ya kweli

Majaribu si ya kuepukika(lazima)

Magumu katika dunia iliyoanguka ni Dhahiri(angalia Petro wa kwanza 4:12 na Timotheo wa pili 3:12).Ila kwa neema ya Mungu tunweza kuyashinda(Yohana 16:3)

Majaribu yanaweza kutujenga au kutuvunja.

Bibilia imejaa watu amabao walichagua imani wakiwa katika nyakati ngumu sana na wale walio tafuta suluhu na wale walio kata tamaa .Mateso huwafanya watu kumsogelea Mungu au kukaa mbali na Mungu

Wale wanaobakia wakiwa wamekwama “kwa nini”, hubakia waathirika katika maumivu yao

Ni kawaida kabisa kuuliza swali “kwa nini,”Ila waathirika hawawez kuyavuka maswali hayo.Kumtumaini Mungu ni hatua ya kwanza kabiza kuelekea kuwa mshindi aliyestahimili.

Katika siku chache zijazo,hebu tuzikumbatie ahadi za Mungna kukataa kubaki mahali pa kukwama! Mungu alifunua hatua kwa Yakobo ambazo ni za vitendo,zenye nguvu,na zenye kubadilisha Maisha.zinatupa kila kitu tunachokihitaji kutuwezesha kubakia katika umilelekatika dunia hii isiyo tulivu.Tuangalie Sanaa ya kustahimili.

Andiko

siku 2

Kuhusu Mpango huu

Sanaa Ya Kustahimili

Maisha katika dunia hii yamejawa na majaribu .Yawezekana uko katikati ya moja ya majaribu hayo hivi sasa na ukiuliza, “kwa nini “? Au hata ,kuuliza “Nitaishije katika mapito haya? Kitabu cha Yakobo kina majibu! Katika mpango huu wa kusoma kwa siku tano,Chip Ingram anatuonyesha jinsi gani unaweza kuiona furaha ya Mungu katikati ya nyakati ngumu kwa kutumia ustadi kupitia Sanaa ya Kustahimili.

More

Tungependa kuwashukuru Wanaoishi Ukingoni kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://livingontheedge.org/product/art-of-survival-book/