Roho Mtakatifu - Tuna Uwezo Wa Kuwaka Moto Au La?Mfano
Hatujiwezi
Binadamu ameumbwa kutegemea neema na nguvu zake Mungu. Kando yake, hatujiwezi. (Yohanna 15:5) Riziki yetu inatoka kwake Mungu (2 Akorintho 3:5) Mungu ametujaza Roho wake, kwani tunahitaji Roho Mtakatifu kutuletea utulivu na kutonyesha njia. Anawezesha nguvu na tuzo zake ndani yetu kwa ajili tunazihitaji kutimiza kazi zake – vifaa vya roho kutimiza utumwa wa Kiroho.
Lazima tukumbuke kwamba hatuna fedha au uwezo wa kiroho peke yetu kutimiza biashara ya utumwa wetu. Hatujiwezi. Sisi sio ‘Yesu Kristo wadogo’ wanao nguvu za kuendelea peke yetu. Ila wakati, tunapokea kutoka kujazwa kwake Yesu kama matawi ya mzabibu yanayo pata maji na uhai. Sisi sio mizabibu wenyewe, tukiishi kando na wengine, lakini tumekamilika katika Yesu. (Wakolosai 2:10)
Hatujapata utumwa wetu wa kueneza injili kote duniani kwa nguvu zetu ili watu waone uzuri au umaarufu wetu. Inawezekana kujitembeza katika ubora wetu na kuwabumbuwazisha watu kwa lisaa limoja pekee. Kisha ngvu zetu zitadidimia. Sisi sio jenereta; nguvu zetu zinatoka kwake Yesu. Kitbu cha Efeso 1:22 na 23 linaeleza 22 Na Mungu ameweka vitu vyote viwe chini ya mamlaka yake na akamteuwa awe mkuu wa vitu vyote kwa ajili ya kanisa, 23 ambalo ni mwili wake, nalo limejawa na yeye ambaye hujaza kila kitu kwa kila njia. Tumefanywa Kuwa Hai Ndani Ya Kristo.” Nguvu zake zinapitia ndani yetu, yaani, sisi sio chanzo cha nguvu hizi. Yesu alisema, 4 Kaeni ndani yangu nami nikae ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa matunda pasipo kuwa sehemu ya mzabibu, vivyo hivyo, ninyi msipokaa ndani yangu hamwezi kufanya lo lote. (Yohanna 15:4)
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Kuna nguvu ya kipekee, nguvu inayofufusha ndani yako. Mwinjilisti Reinhard Bonnke amekutolea maandishi ya nguvu kuhusu Roho Mtakatifu na Kanuni za Nguvu zake Roho Mtakatifu. Funzo hili la siku saba litapinga mawazo au fikra zako kuhusu Roho Mtakatifu na
More
Tungependa kumshukuru CfaN Christ Kwa Mataifa Yote kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://cfan.org/?office=za&language=en