Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 12/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 12/2020

SIKU 13 YA 31

Mungu ametugawia vipawa kila mmoja kwa namna yake na kwa viwango vinavyotofautiana. Anataka tuvitumie kumzalia matunda; kama vile kusaidia walio na uhitaji na wengine kuwafundisha njia ya Ufalme wa Mungu. Mwisho wa maisha yetu atatutaka kila mmoja amtolee hesabu ya matumizi ya vipawa hivyo. Hakuna mtu asiye na kipawa! Kama hujui alichokujalia mwombe Mungu akufunulie, au waulize Wakristo waumini wenzako wanaokufahamu kwa karibu. Hakikisha kuwa, daima unatumia vipawa vyako kwa unyenyekevu na kwa ajili ya utukufu wa Mungu. 

siku 12siku 14

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 12/2020

Soma Biblia Kila Siku 12/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 2 Wathesalonike, Mathayo na Mwanzo. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kuishukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz