Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 11/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 11/2020

SIKU 23 YA 30

Matendo mema na usafi wa nje ni sawa, lakini haya hayawezi kutupatia kibali mbele za Mungu. Kile kiujazacho moyo ndicho kinachoelekeza hatima ya mtu. Ndani ya moyo ndipo penye mipango yote ya maisha ya mtu. Dhambi hubuniwa ndani ya moyo. Hiyo humtia mtu unajisi. Usafi wa kiroho pia huanzia moyoni. Hilo humpatia mtu haki. Hivyo, changamoto ya kila Mkristo ndiyo suala la kuulinda moyo wake ili asifanane na wale Mafarisayo na waandishi waliojali mambo yanayoonekana wakaacha yale ya imani.

siku 22siku 24

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 11/2020

Soma Biblia Kila Siku 11/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo, Mwanzo na 1 Petro. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kuishukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz