Soma Biblia Kila Siku 11/2020Mfano

Maneno ya leo yabeba "ole" tatu kati ya saba zilizotamkwa dhidi ya Mafarisayo na waandishi. Yesu anabainisha wazi kabisa unafiki uliokithiri katika matendo na mienendo yao. Ni onyo juu ya hatari ya hukumu ambayo ilikuwa inawakabili kwa kuwapotosha watu wasiingie katika Ufalme wa Mbinguni. Je, maneno haya yanatufundisha nini mimi na wewe? Ni muhimu sana kwetu sote kutumia dhamana ya kufundisha watu njia ya Mungu, tukitenda kwa uaminifu na kuwa mfano wa kuigwa (ling. Flp 3:17, Ndugu zangu, mnifuate mimi, mkawatazame wao waendao kwa kuufuata mfano tuliowapa ninyi).
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 11/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo, Mwanzo na 1 Petro. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Tungependa kuishukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz
Mipangilio yanayo husiana

Soma Biblia Kila Siku Julai 2021

Soma Biblia Kila Siku Februari 2021

Soma Biblia Kila Siku Mei 2021

Soma Biblia Kila Siku Juni 2021

Upendo Wa Bure

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

Soma Biblia Kila Siku Machi 2021

Roho Mtakatifu - Tuna Uwezo Wa Kuwaka Moto Au La?

BibleProject | Safari ya Kujifunza Kutoka Luka Na Matendo
