Soma Biblia Kila Siku 05/2020Mfano
Tukienenda nuruni ... (m.7). Mara nyingi tunafiriki kwamba Mtume wa Yesu hapa anamaanisha kwamba kuenenda kwetu ni msingi wa wokovu, yaani, ikiwatunaenenda sawasawa, basi tutapata kusafishwa na damu yake. Lakini siyo kweli. Mtume anataja matokeoya kusafishwa na damu yake Yesu. Tukisema twashirikiana sisi kwa sisi bila kushirikiana naye (kumtegemea) sisi ni waongo. Bila upendo wake katika maisha yetu, hatuwezi kupendana. Kwa nini? Tunasoma: Kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe (Isa 53:6). Je, wewe huifuata njia ipi?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Soma Biblia Kila Siku 05/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Ayubu, Zaburi na 1 Yohana. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz