Uhakika katika siku za mashakaMfano
Kuna.moto ndani mwetu sote inayosubiri kuwashwa. Moto unaokuwa na unaoweze kuenea kwa waliotuzingira tukiendelea kuongeza miale yake. Moto huu una nguvu kuliko ile shaka unayoweza kuwa unahisi. Una nguvu za kushinda mawazo kinyume yanayokuzunguka hivi sasa.
Moto huo, hisia hizo, nguvu hizo za ndani ziliwekwa na Mungu mwenyewe. Hisia za kufanya kile uliumbwa kufanya.chochote kile. Nguvu za ndani za kuvumilia na kuibuja mshindi pasipokujali pingamizi zako.
Naweza kuwa na shaka na hali ya keshi lakini ni a uhakika wa kufanya mambo yatendeke leo.
Naweza kuwa na shaka ya jinsi nitakavyoafikia malengo yangu lakini nina uhakika wa malengo yangu.
Nina shaka ya jinsi nitakavyofaulu lakini nina uhakika kwamba nitafaulu.
Nina.uhakika wake
Mawazo yangu yamekwisha amua.
Mungu wangu amenitwakia vyombo vinavyostahili ili niweze kuona ndoto zangu zikizaa matunda. Amenilinda tangia kuumbwa kwangu na mapenzi yake yanatimia wakati wote.
Sina uhakika wa jinsi nitakavyofaulu lakini nina uhakika. Sijui ni lini nitatimiza malengo yangu lakini ninajua yatatimizwa.
Nina uhakika wake
Unachopitia hakiwezi li ganishwa na Bwana. . Chochote kila uchungu, hofu , kuchanganyikiwa, mkazo, wasiwasi au shaka zinafanywa za uhakika kupitia Yesu Kristu.
Wakati wa shaka usiwe na woga. Kuwa na uhakika.
Kujiunga na David Villa , href="https://davidvilla.me/subscribe
bonyeza hapa
Kujisajili kwa mafundisho ya David bonyeza hapa
Kuhusu Mpango huu
Katikati ya mashaka, Mungu ni wa uhakika! Ungana na David Villa katika mpango wake mpya anapoangalia mashaka na hasi ili kufikia kitu kikubwa.
More
Tunapenda kumshukuru David Villa kwa kutupa mpango huu. Kwa taarifa zaidi, tafadhali tembelea: https://davidvilla.me