Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Uhakika katika siku za mashakaMfano

Certainty In Times Of Uncertainty

SIKU 3 YA 5

Hatuwezi kila wakati kuwa na uhakika wa kila kinachoenda kutukia. Hatuwezi kueleza siku za mtu za usoni zitakavyokua. Twaweza kubahatishatu. Twaweza kudhania tu. Twaweza kutambua mitindo na kufikiri tu, lakini hakuna yeyote ajuaye kesho itakavyokua. Tuna leo tu.


Na leo yatosha.

Umbali huu umenusurika siku zilizokua mbaya, kila tukio na mambo yaliyokurwjesha nyuma. Hauwezi kishindwa. Umeona halingumu hapo awali, na kupatana na wapinzani hatari ambao walionekana kana kwamba wanafaidika lakini kwa yote umeibuka kuwa mshindi.

Wakati hatukua na uhakika tulichagua uhakika.

Tuna uhakika sio wa matukio yetu na hali zetu bali kwa Mungu wetu ambaye hututwalia na kutulinda.

HAKIKA - Ni ushawishi thabiti kwamba kuna jambo. Kiwango ama hali ya kuwa na ukweli wa kuegemewa. Ukweli ambao ni hakika au tukio ambalo bila shaka litatukia.

Kutokua na uhakia ni hali ya kuwa na shaka. Kitu kisicho cha uhakika au kunachomsababisha mtu kukosa uhakika.

Kutokua na uhakika inasema " Sijui siku zangu za usoni zitakavyokuwa"

Uhakika inasema " Ninamjua ashikiliae hatima yangu

Kuwa bila Kristu ni kuwa bila. amani. Kukosa uhakika. Kila mtu ana dhamiri ndani yake ambayo lazima itoshelezwe ndipo hakika awe na furaha. Kuna kitu kimoja tu kinachoweza leta amani kwenye dhamiri na hiyo ni kuwa na uhusiano sawa na. Mungu.

Pigania kilicho muhimu sana kwako. Pigania imani yako. Pigania jamii yako. Usikubali mawazo kinyume na pia shaka kupata nafasi katika mawazo yako. Mungu angali katika shughuli za kubariki.

Ni wakati wa kuondoa shaka na kufanya njia kwa uhakika. Mawazo kinyume yametamatisha wakati wake na mawazo mema yanarudi ndani.

Tunahitaji kutambulisha ulimwengu wa shaka kwa Yesu wa hakika
siku 2siku 4

Kuhusu Mpango huu

Certainty In Times Of Uncertainty

Katikati ya mashaka, Mungu ni wa uhakika! Ungana na David Villa katika mpango wake mpya anapoangalia mashaka na hasi ili kufikia kitu kikubwa.

More

Tunapenda kumshukuru David Villa kwa kutupa mpango huu. Kwa taarifa zaidi, tafadhali tembelea: https://davidvilla.me