Oswald Chambers: Furaha- Nguvu katika BwanaMfano
Viwango vyote vya furaha vimo moyoni mwako. Mkristo anawezaje kuwa mwenye raha (ikiwa raha inategemea vitu vinavyotendeka) na ako katika dunia ambayo shetani anajitahidi kupotosha roho kutoka Mungu, dunia ambayo watu wanapitia mateso, kwenye wengine wanakandamizwa na hawana nafasi? Matokeo ya hali hii ya dunia ingekuwa ubinafsi duni mno. Lakini moyo wenye furaha daima si tusi, na furaha haiguswi na hali za nje.
Biblia inazungumzia furaha mara nyingi, lakini hakuna mahali imeandikwa kuhusu Mkristo “mwenye raha." Raha inategemea yanayotendeka; furaha si tegemezi. Kumbuka, Yesu Kristo alikuwa na furaha, na anaomba “waweze kushiriki kikamilifu furaha yangu.”
Maswali ya Kutafakari: Ni nini uwiano wa furaha kwa raha maishani mwangu? Ni mara ngapi ninaruhusu hisia zangu kuamuliwa na hali yangu? Ni mara ngapi nina furaha?
Dondoo imetoka "Biblical Psychology", © Discovery House Publishers

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Gundua hekima ya Oswald Chambers, mwandishi wa "My Utmost for His Highest", katika mkusanyiko huu wa hazina ambao unatoa ufahamu kuhusu furaha. Kila somo lina dondoo kutoka Chambers na maswali ya kutafakari kibinafsi. Akitumia hekima sahili na dhahiri kutoka Biblia kukupa motisha na changamoto, utaanza kutamani kuwasiliana zaidi na Mungu.
More
We would like to thank Discovery House Publishers for providing this plan. For more information, please visit: www.utmost.org