Oswald Chambers: Furaha- Nguvu katika BwanaMfano
Ni jambo jema kuona mtu akiishi katika mwanga wa kitu ambacho huwezi kukiona. Ni rahisi kugundua ikiwa mtu ana viwango ambavyo huvioni; kuna kitu ambacho unawafanya waendelee kuwa watu wazuri hata kama hali yao ingewafanya wawe wenye machungu. Hii ni alama ya Mkristo. Hapotezi mwelekeo katika wakati wa taabu. Anayo nanga inayodumu hata mahali patakatifu mbinguni. Tunapojua kwamba wakati waja ambao kila kitu kitaelezwa kikamilifu, na inajaza roho zetu na furaha isiyoweza kuzimika.
Ee Bwana Mungu, ninaanza kuelewa kidogo maana yako kwangu—zaidi ya nuru ya asubuhi, zaidi ya furaha na afya, zaidi ya baraka zako zote. Pambazuka kwangu upya asubuhi ya leo na unifanye niangaze wote kupitia mwanga wako.
Maswali ya kutafakari: Ni vipi ambavyo kujua anayeshikilia yajayo inanizuia kupoteza mwelekeo? Ni mwanga upi ninahitaji kuzingatia ili niendelee na safari ya furaha? Nitie nanga yangu wapi ili nisipoteze mwelekeo?
Dondoo limetoka "The Place of Help" na "Knocking at God’s Door", © Discovery House Publishers

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Gundua hekima ya Oswald Chambers, mwandishi wa "My Utmost for His Highest", katika mkusanyiko huu wa hazina ambao unatoa ufahamu kuhusu furaha. Kila somo lina dondoo kutoka Chambers na maswali ya kutafakari kibinafsi. Akitumia hekima sahili na dhahiri kutoka Biblia kukupa motisha na changamoto, utaanza kutamani kuwasiliana zaidi na Mungu.
More
We would like to thank Discovery House Publishers for providing this plan. For more information, please visit: www.utmost.org