Oswald Chambers: Furaha- Nguvu katika BwanaMfano
Watu wamechoshwa na kuhubiri kuhusu mbingu ujao na badala yake wamepotoka na kuanza kuongea kuhusu wanayofikiri yanawezekana kutendeka pekee. Kwa hivyo wanajinyima furaha isiyoeleweka ya kujua kwamba yote ambayo Mungu amesema yatatendeka. Ukombozi si kwa watu pekee, bali unahusisha dunia mzima. Kila kitu ambacho kimechafuliwa na dhambi na shetani kimekombolewa na Yesu Kristo. Hatuwezi kuuelewa wakati huu. Ulimwengu unawakilisha jamii za watu hapa katika dunia ya Mungu, na wanafanya kama wanavyotaka; dunia inabaki kuwa ya Mungu. “Heri walio wapole: maana watairithi nchi.” Walio wapole wanamngoja Bwana kwa wakati wake.
Tunaenda kwa Mungu wakati hatuna furaha na tunapata kwamba furaha yake ndio nguvu yetu.
Maswali ya Kutafakari: Moyo wangu u tuli kwa ufahamu kwamba Mungu amejawa na furaha hata ingawa mimi nina mawingu na giza pekee? Imani yangu kwamba ushindi wa mwisho wa Kristo inatosha kunipa furaha ninapongoja atimize ahadi zake?
Dondoo zimetoka "Biblical Ethics" na "The Highest Good", © Discovery House Publishers

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Gundua hekima ya Oswald Chambers, mwandishi wa "My Utmost for His Highest", katika mkusanyiko huu wa hazina ambao unatoa ufahamu kuhusu furaha. Kila somo lina dondoo kutoka Chambers na maswali ya kutafakari kibinafsi. Akitumia hekima sahili na dhahiri kutoka Biblia kukupa motisha na changamoto, utaanza kutamani kuwasiliana zaidi na Mungu.
More
We would like to thank Discovery House Publishers for providing this plan. For more information, please visit: www.utmost.org