Oswald Chambers: Furaha- Nguvu katika BwanaMfano
Furaha ambayo mwamini anayoweza kumpa Mungu ni hiyo raha iliyotakaswa mno ambayo Mungu anaweza kumpa mtakatifu, na inadhalilisha kugundua furaha tunaompa ni ndogo sana. Tunamwamini Mungu mpaka mahali, kisha tunasema, “Hapa lazima nitie bidii.” Kuna nyakati ambazo bidii za binadamu haziwezekani, wakati ambapo ni bidii za Mungu zinafaa kuachwa zifanye kazi, na Mungu anatarajia kwamba sisi ambao tunamjua tutakuwa na hakikisho katika uwezo wake na nguvu zake. Lazima tujue yale ambayo wavuvi hawa walifunzwa, kwamba Seremala wa Nazareti alijua mengi zaidi yao kuhusu jinsi ya kusimamia mashua hayo. Yesu Kristo ni seremala, ama ni Mungu kwangu? Ikiwa Yeye ni binadamu tu, mbona unamruhusu achukue usukani? Mbona umwombee? Lakini ikiwa yeye ni Mungu, basi uwe shujaa na uende mpaka mwisho bila uhakikisho wako kwake kuisha.
Maswali ya Kutafakari: Nimewahi kuwaza kwamba ninaweza ama ninafaa kumpa Mungu furaha? Je, ninajua yale ambayo yanamfurahisha Mungu? Ni katika njia gani yamkini nitamfurahisha Mungu?
Dondoo imetoka "The Place of Help", © Discovery House Publishers
Maswali ya Kutafakari: Nimewahi kuwaza kwamba ninaweza ama ninafaa kumpa Mungu furaha? Je, ninajua yale ambayo yanamfurahisha Mungu? Ni katika njia gani yamkini nitamfurahisha Mungu?
Dondoo imetoka "The Place of Help", © Discovery House Publishers
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Gundua hekima ya Oswald Chambers, mwandishi wa "My Utmost for His Highest", katika mkusanyiko huu wa hazina ambao unatoa ufahamu kuhusu furaha. Kila somo lina dondoo kutoka Chambers na maswali ya kutafakari kibinafsi. Akitumia hekima sahili na dhahiri kutoka Biblia kukupa motisha na changamoto, utaanza kutamani kuwasiliana zaidi na Mungu.
More
We would like to thank Discovery House Publishers for providing this plan. For more information, please visit: www.utmost.org