Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Oswald Chambers: Furaha- Nguvu katika BwanaMfano

Oswald Chambers: Joy - Strength In The Lord

SIKU 17 YA 30

Bwana wetu anaongea kuhusu furaha ya kupata yaliyopotea. Ninavutiwa na hii: Bwana anataka kuona kupitia macho yangu. Bwana anataka kufikiria kupitia ubongo wangu. Bwana anataka kufanya kazi kupitia mikono yangu. Bwana anataka kuishi na kutembea mwilini mwangu kwa sababu moja—kuwaendea waliopotea kulingana na Mungu. Ninamruhusu atembee na kuishi ndani yangu?

Uhalisi wa kiroho unaweza kufanywa bandia. “Pumzika katika Bwana” inaweza kubadilishwa kuwa na hisia ya uchaji “kutu." Maneno yetu yote kuhusu utakaso yana hatima ipi? Inafaa kuwa kwamba hatima ni kupumzika katika Bwana ambayo inamaanisha kuwa kitu kimoja naye kama uhusiano wake na Yesu—si kuwa tu mtakatifu mbele ya Mungu, bali furaha kuu ndani yake.

Maswali ya Kutafakari: Ninapenda kupata yaliyopotea? Ninashiriki kwa furaha katika mpango wa Mungu kuwatafuta na kuokoa wapotevu? Nimekosea wapi kwa kuunda uroho bandia? Ninakuza pumziko jingine isipokuwa umoja na Yesu na utakatifu mbele ya Mungu?

Dondoo imetoka "Workmen of God" na "The Place of Help", © Discovery House Publishers

Andiko

siku 16siku 18

Kuhusu Mpango huu

Oswald Chambers: Joy - Strength In The Lord

Gundua hekima ya Oswald Chambers, mwandishi wa "My Utmost for His Highest", katika mkusanyiko huu wa hazina ambao unatoa ufahamu kuhusu furaha. Kila somo lina dondoo kutoka Chambers na maswali ya kutafakari kibinafsi. Akitumia hekima sahili na dhahiri kutoka Biblia kukupa motisha na changamoto, utaanza kutamani kuwasiliana zaidi na Mungu.

More

We would like to thank Discovery House Publishers for providing this plan. For more information, please visit: www.utmost.org