Oswald Chambers: Furaha- Nguvu katika BwanaMfano
Bahati unaotokana na bahati mbaya! Paulo anatazama ufungwa wake hivi. Hataki wasongwe na mawazo juu yake, ama kufikiri kwamba nia ya Mungu imezuiliwa; anasema kwamba haijazuiliwa, bali imeendelezwa. Vile vitu ambavyo vilionekana kama jangwa vimekuwa vile bora zaidi, kwa hivyo moyo wake umejaa furaha, na anaandika kuhusu kufurahi.
Roho ya kutii inampa Mungu furaha kuu kuliko kitu kingine duniani. Upendo wa Mungu ukimiminwa moyoni mwangu (Warumi 5:5), hulka ya Mungu i ndani yangu, na ninajua kupitia utiifu wangu kwamba nampenda. Kipimo bora zaidi cha maisha ya kiroho si ishara zake za ajabu, bali ni utiifu wake.
Maswali ya Kutafakari: Jangwa zipi zimekuwa nafasi? Ningekosa furaha ipi ikiwa nisingetembea na Mungu katika majaribu?
Dondoo zimetoka "Conformed to His Image" na "Not Knowing Where", © Discovery House Publishers

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Gundua hekima ya Oswald Chambers, mwandishi wa "My Utmost for His Highest", katika mkusanyiko huu wa hazina ambao unatoa ufahamu kuhusu furaha. Kila somo lina dondoo kutoka Chambers na maswali ya kutafakari kibinafsi. Akitumia hekima sahili na dhahiri kutoka Biblia kukupa motisha na changamoto, utaanza kutamani kuwasiliana zaidi na Mungu.
More
We would like to thank Discovery House Publishers for providing this plan. For more information, please visit: www.utmost.org