Oswald Chambers: Furaha- Nguvu katika BwanaMfano
Ufahamu kwamba nguvu yangu ni kizuizi kwa maisha ambayo Mungu ananipa ni ufunuo mkuu. Mtu mwerevu huwa anategemea werevu wake badala ya kumtegemea Mungu. Mwenye pesa huwa anategemea mali yake badala ya kumtegemea Mungu. Wengi wetu wanaamini mali ambayo tunayo badala ya kuweka imani yetu katika Bwana.
Vyanzo hivyo vyote vya nguvu pia ni vyanzo vya udhaifu maradufu. Lakini tunapofahamu kwamba uhai wetu wa kweli “umefichwa pamoja na Yesu katika Mungu,” kwamba “tumepewa ukamilifu ndani yake,” kwake yeye ambaye “ndani yake katika ubinadamu wake, umo ukamilifu wote wa Mungu,” basi uwezo wake unadhihirika vyema katika miili yetu dhaifu. Mungu atujalie Roho yake itulete sote pale ambapo siri inafunzwa na kufurahiwa kwamba uwezo wake unakamilishwa katika udhaifu wetu.
Maswali ya Kutafakari: Ni vipi ambavyo nguvu yangu ni kizuizi kwa Mungu? Ni vipi ambavyo rasilimali zangu ni kizuizi kwa Mungu? Ni siri ipi ambayo imefichwa kwangu kwa sababu ninakataa kumtegemea Mungu?
Dondoo imetoka "God’s Workmanship", © Discovery House Publishers

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Gundua hekima ya Oswald Chambers, mwandishi wa "My Utmost for His Highest", katika mkusanyiko huu wa hazina ambao unatoa ufahamu kuhusu furaha. Kila somo lina dondoo kutoka Chambers na maswali ya kutafakari kibinafsi. Akitumia hekima sahili na dhahiri kutoka Biblia kukupa motisha na changamoto, utaanza kutamani kuwasiliana zaidi na Mungu.
More
We would like to thank Discovery House Publishers for providing this plan. For more information, please visit: www.utmost.org