Oswald Chambers: Furaha- Nguvu katika BwanaMfano
Njia ya pekee ya kufurahia “mti wa uhai” ni kutimiza nia ya uumbaji wetu. Ysu Kristo aliomba “waweze kushiriki kikamilifu furaha yangu.” Kitu ambacho kilimfanya Yesu awe mwenye furaha si kwamba alijiondoa kutoka vitu halisi, bali ni kwamba alibeba ufalme. Maisha yote ya Bwana wetu ulikita mizizi katika Mungu, kwa hivyo hakuchoshwa wala kunjika moyo.
Tunaweza kufanya chochote tunachotaka katika mipaka ya kuzaliwa na kifo; lakini siwezi kufanya nirudi na kutozaliw, na lazima nitakufa, hiyo mipaka ipo. Sijaweka mipaka hiyo, lakini ninaweza kufanya chochote ndani yao kulingana na maamuzi yangu. Ikiwa nitakuwa na muda wa furaha ama muda wa huzuni inaategemea ninachofanya kati ya mipaka ya saa.
Maswali ya Kutafakari: Ni watu wagani wananifanya nivunjike moyo? Mbona ninaruhusu maadili na maamuzi ya wengine kupunguza furaha yangu? Ninaporuhusu msongo wa mawazo, ninaelewa nini kuhusu maadili yangu mwenyewe? Nitachagua nini ili kubadilisha kuvunjika kwa moyo na furaha?
Dondoo imetoka "Still Higher for His Highest", © Discovery House Publishers

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Gundua hekima ya Oswald Chambers, mwandishi wa "My Utmost for His Highest", katika mkusanyiko huu wa hazina ambao unatoa ufahamu kuhusu furaha. Kila somo lina dondoo kutoka Chambers na maswali ya kutafakari kibinafsi. Akitumia hekima sahili na dhahiri kutoka Biblia kukupa motisha na changamoto, utaanza kutamani kuwasiliana zaidi na Mungu.
More
We would like to thank Discovery House Publishers for providing this plan. For more information, please visit: www.utmost.org