Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 72:12-14

Zaburi 72:12-14 BHN

Anamkomboa fukara anayemwomba, na maskini asiye na wa kumsaidia. Anawahurumia watu dhaifu na fukara, anayaokoa maisha yao wenye shida. Anawatoa katika udhalimu na ukatili, maana maisha yao ni ya thamani kubwa kwake.

Soma Zaburi 72

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 72:12-14