Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 72:12-14

Zab 72:12-14 SUV

Kwa maana atamkomboa mhitaji aliapo, Na mtu aliyeonewa iwapo hana msaidizi. Atamhurumia aliye dhaifu na maskini, Na nafsi za wahitaji ataziokoa. Atawakomboa nafsi zao na kuonewa na udhalimu, Na damu yao ina thamani machoni pake.

Soma Zab 72

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 72:12-14