Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 18:21-22

Mathayo 18:21-22 BHN

Kisha Petro akamwendea Yesu, akamwuliza, “Je, ndugu yangu akinikosea, nimsamehe mara ngapi? Mara saba?” Yesu akamjibu, “Sisemi mara saba tu, bali sabini mara saba.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 18:21-22