Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 18:21-22

Mathayo 18:21-22 NEN

Ndipo Petro akamjia Yesu na kumuuliza, “Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi nami nimsamehe? Je, hata mara saba?” Yesu akamjibu, “Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 18:21-22

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha