Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 18:21-22

Mt 18:21-22 SUV

Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikose mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba? Yesu akamwambia, Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini.

Soma Mt 18

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 18:21-22

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha