Mathayo 18:21-22
Mathayo 18:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Petro akamwendea Yesu, akamwuliza, “Je, ndugu yangu akinikosea, nimsamehe mara ngapi? Mara saba?” Yesu akamjibu, “Sisemi mara saba tu, bali sabini mara saba.
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba? Yesu akamwambia, Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini.
Shirikisha
Soma Mathayo 18