Zaburi 72:12-14
Zaburi 72:12-14 SRUV
Kwa maana atamkomboa mhitaji aliapo, Na mtu aliyeonewa iwapo hana msaidizi. Atawahurumia wanyonge na maskini, Na nafsi za wahitaji ataziokoa. Atawakomboa kutoka kwa maonevu na udhalimu, Maana damu yao ina thamani machoni pake.