Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Timotheo 4:7-8

2 Timotheo 4:7-8 SRUV

Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda; baada ya hayo nimewekewa taji la haki, ambayo Bwana, mhukumu mwenye haki, atanipa siku ile; wala si mimi tu, bali na watu wote pia waliopenda kufunuliwa kwake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Timotheo 4:7-8