Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Tim 4:7-8

2 Tim 4:7-8 SUV

Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda; baada ya hayo nimewekewa taji ya haki, ambayo Bwana, mhukumu mwenye haki, atanipa siku ile; wala si mimi tu, bali na watu wote pia waliopenda kufunuliwa kwake.

Soma 2 Tim 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Tim 4:7-8