Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 27:45-46

Mt 27:45-46 SUV

Basi tangu saa sita palikuwa na giza juu ya nchi yote hata saa tisa. Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

Soma Mt 27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 27:45-46

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha