Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 27:45-46

Mathayo 27:45-46 NEN

Tangu saa sita hadi saa tisa giza liliifunika nchi yote. Ilipofika saa tisa, Yesu akapaza sauti akalia, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?” (maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”)

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 27:45-46