Mathayo 27:45-46
Mathayo 27:45-46 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi tangu saa sita palikuwa na giza juu ya nchi yote hadi saa tisa. Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Shirikisha
Soma Mathayo 27Mathayo 27:45-46 Biblia Habari Njema (BHN)
Tangu saa sita mchana mpaka saa tisa, giza likaikumba nchi yote. Mnamo saa tisa Yesu akalia kwa sauti kubwa, “Eli, Eli, lema sabakthani?” Maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”
Shirikisha
Soma Mathayo 27Mathayo 27:45-46 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi tangu saa sita palikuwa na giza juu ya nchi yote hata saa tisa. Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Shirikisha
Soma Mathayo 27