1
Ufunuo 1:8
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
“Mimi ni Alfa na Omega,” asema Bwana Mwenyezi Mungu, “aliyeko, aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.”
Linganisha
Chunguza Ufunuo 1:8
2
Ufunuo 1:18
Mimi ni Yeye Aliye Hai, niliyekuwa nimekufa, na tazama, ni hai milele na milele! Nami ninazo funguo za mauti na Kuzimu.
Chunguza Ufunuo 1:18
3
Ufunuo 1:3
Amebarikiwa yeye asomaye maneno ya unabii huu, na wamebarikiwa wale wanaoyasikia na kuyatia moyoni yale yaliyoandikwa humo, kwa sababu wakati umekaribia.
Chunguza Ufunuo 1:3
4
Ufunuo 1:17
Nilipomwona, nilianguka miguuni pake kama aliyekufa. Ndipo akauweka mkono wake wa kuume juu yangu na kusema: “Usiogope, Mimi ndiye wa Kwanza na wa Mwisho.
Chunguza Ufunuo 1:17
5
Ufunuo 1:7
“Tazama! Anakuja na mawingu,” na “kila jicho litamwona, hata wale waliomchoma”; na makabila yote duniani “yataomboleza kwa sababu yake.” Naam, ndivyo itakavyokuwa! Amen.
Chunguza Ufunuo 1:7
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video