Ufunuo 1:18
Ufunuo 1:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi ni yeye aliye hai! Nilikuwa nimekufa, lakini, tazama, sasa ni hai milele na milele. Ninazo funguo za kifo na kuzimu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 1Ufunuo 1:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na aliye hai; nami nilikuwa nimekufa, na tazama, ni hai hata milele na milele. Nami ninazo funguo za mauti, na za kuzimu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 1