Ufunuo 1:17
Ufunuo 1:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nilipomwona tu, nilianguka mbele ya miguu yake kama maiti. Lakini yeye akaweka mkono wake wa kulia juu yangu, akasema, “Usiogope! Mimi ni wa kwanza na wa mwisho.
Shirikisha
Soma Ufunuo 1Ufunuo 1:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nilipomwona, nilianguka miguuni pake kama mtu aliyekufa. Akaweka mkono wake wa kulia juu yangu, akisema, Usiogope, Mimi ni wa kwanza na wa mwisho
Shirikisha
Soma Ufunuo 1