Ufunuo 1:8
Ufunuo 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mimi ni Alfa na Omega,” asema Bwana Mungu Mwenye Nguvu, aliyeko, aliyekuwako na anayekuja.
Shirikisha
Soma Ufunuo 1Ufunuo 1:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.
Shirikisha
Soma Ufunuo 1Ufunuo 1:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.
Shirikisha
Soma Ufunuo 1