1
Zaburi 35:1
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Ee Mwenyezi Mungu, pingana na wale wanaopingana nami, upigane na hao wanaopigana nami.
Linganisha
Chunguza Zaburi 35:1
2
Zaburi 35:27
Wale wanaofurahia hukumu yangu ya haki wapige kelele za shangwe na furaha; hebu waseme siku zote, “Mwenyezi Mungu atukuzwe, ambaye amefurahia mafanikio ya mtumishi wake.”
Chunguza Zaburi 35:27
3
Zaburi 35:28
Ulimi wangu utanena haki yako na sifa zako mchana kutwa.
Chunguza Zaburi 35:28
4
Zaburi 35:10
Nitapaza sauti yangu nikisema, “Ni nani aliye kama wewe, Ee Mwenyezi Mungu? Wewe huwaokoa maskini kutokana na wale waliowazidi nguvu, unawaokoa maskini na wahitaji kutokana na wanaowanyang’anya!”
Chunguza Zaburi 35:10
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video