1
Zaburi 34:18
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mwenyezi Mungu yu karibu na waliovunjika moyo, na huwaokoa waliopondeka roho.
Linganisha
Chunguza Zaburi 34:18
2
Zaburi 34:4
Nilimtafuta Mwenyezi Mungu naye akanijibu, akaniokoa kwenye hofu zangu zote.
Chunguza Zaburi 34:4
3
Zaburi 34:19
Mwenye haki ana mateso mengi, lakini Mwenyezi Mungu humwokoa nayo yote
Chunguza Zaburi 34:19
4
Zaburi 34:8
Onjeni mwone kwamba Mwenyezi Mungu ni mwema; heri mtu yule anayemkimbilia.
Chunguza Zaburi 34:8
5
Zaburi 34:5
Wale wamtazamao hutiwa nuru, nyuso zao hazifunikwi na aibu kamwe.
Chunguza Zaburi 34:5
6
Zaburi 34:17
Wenye haki hulia, naye Mwenyezi Mungu huwasikia, huwaokoa katika taabu zao zote.
Chunguza Zaburi 34:17
7
Zaburi 34:7
Malaika wa Mwenyezi Mungu hufanya kituo akiwazunguka wale wamchao, naye huwaokoa.
Chunguza Zaburi 34:7
8
Zaburi 34:14
Aache uovu, atende mema, aitafute amani na kuifuatilia.
Chunguza Zaburi 34:14
9
Zaburi 34:13
basi auzuie ulimi wake na mabaya, na midomo yake kutokana na kusema uongo.
Chunguza Zaburi 34:13
10
Zaburi 34:15
Macho ya Mwenyezi Mungu huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza kilio chao.
Chunguza Zaburi 34:15
11
Zaburi 34:3
Mtukuzeni Mwenyezi Mungu pamoja nami, naam, na tulitukuze jina lake pamoja.
Chunguza Zaburi 34:3
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video