Zaburi 34:18
Zaburi 34:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu yu karibu na waliokufa moyo; huwaokoa wote waliokata tamaa kabisa.
Shirikisha
Soma Zaburi 34Zaburi 34:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA yu karibu nao waliovunjika moyo, Na huwaokoa waliopondeka roho.
Shirikisha
Soma Zaburi 34Zaburi 34:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA yu karibu nao waliovunjika moyo, Na waliopondeka roho huwaokoa.
Shirikisha
Soma Zaburi 34