1
Zaburi 36:9
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kuwa pamoja nawe ni kijito cha uzima, katika nuru yako twaona nuru.
Linganisha
Chunguza Zaburi 36:9
2
Zaburi 36:7
Upendo wako usiokoma ni wa thamani mno! Watu wakuu na wadogo hujificha uvulini wa mabawa yako.
Chunguza Zaburi 36:7
3
Zaburi 36:5
Upendo wako, Ee Mwenyezi Mungu, unafika hadi mbinguni, uaminifu wako hadi kwenye anga.
Chunguza Zaburi 36:5
4
Zaburi 36:6
Haki yako ni kama milima mikubwa, hukumu zako ni kama kilindi kikuu. Ee Mwenyezi Mungu, wewe huwahifadhi mwanadamu na mnyama.
Chunguza Zaburi 36:6
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video